Happy birthday Mtoto Paloma!

Happy birthday Mtoto Paloma!

heee hii :mod: mbona sikuibamba kama ya Mkirua

Happy birthday shostito Paloma Mungu akupe afya njema na uwe wa kiwango cha juu zaidi kwa kila ulifanyalo
 
Last edited by a moderator:
Paloma....
images
 
Last edited by a moderator:
heee hii :mod: mbona sikuibamba kama ya Mkirua

Happy birthday shostito Paloma Mungu akupe afya njema na uwe wa kiwango cha juu zaidi kwa kila ulifanyalo

amina kipenzy......barikiwa sana na Mungu awe nawe kukufanyia wepesi katika hali zako!
uje basi tule keki!!
 
Bahati yako daddy angu hakunifunza kulipiza kisasi... Haya nakupa Jicake la Ukwenhe!!!

birthday-cake.gif
 
Epi besdei dada yangu wa hiari .... Paloma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom