Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
mmeseminisana mpk basi! siwapendi kabisa!
Mhh mbona mie na mke mwenzio Passion Lady tunakupenda hunie wangu Paloma..?
Ruttashobolwa kafanyiwa operation ya busha.. Ameambiwa akae miezi sita bila ya kifanyio chake kufanya chochote.. Unadhani ni kwanini Passion Lady anakusaidia shughuli..? Hebu acha roho ya korosho mke wangu.. Kizuri kula na nduguyo.. Passion Lady si nduguyo wewe..?

kwa sasa niko vyema ingawaje majuzi nilikuwa na stress kidogo bestito
ila sasa naendlea vyema kabisa wasalimie warangi huko ukija niletee mlenda
Aha ha ha ah nimetoka kwa warangi, now niko kwu yaa wagogo... ila hata huku ukiutaka nitakuletea tuu... salama ndugu yangu?