mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
HBD Tony
Na uwe makiniNgoja nikuletee mawani yako uangalie kwa makini... sitaki upitiwe hata na moja...
Basi tulia kama unanyolewa. Ukijitikisa utakatwa...
Haha binti ana roho ngumu khaaMwalimu kashikilia pensheni hasikii wala haoni
Rudi tuu, dunia ishakufunza.narudi nipokee mpenzi