Ooh asante shem..Nimefurahi pia umeitendea haki siku hii muhimu ya mdogo wangu...
Ahahaha..ataona aibu bana
Ulikua wapi keki inakaribia kuisha??
Haha asante shem waukweli.....
Namtafuta Ntuzu....
Tutakua pamoja tu usijaliI wish u a happy and long life my dia miss neddy.Tafadhali shem utafiti muongoze mdogo wetu katika njia iliyo salama
Hope tutakutana kwenye party my dada mwallu
Amekua hivyo siku hizi? Basi tutamuweka high table ataona aibu kula sana mbele za watuYule aone aibu kwenye kulaa? Labda aone aibu akishashibaa...
Aisee utafiti niko Hapa Shem!
Heri ya kuzaliwa miss neddy nakutakia Maisha marefu yenye furaha na mafanikio!
I wish u a happy and long life my dia miss neddy.Tafadhali shem utafiti muongoze mdogo wetu katika njia iliyo salama
Hope tutakutana kwenye party my dada mwallu
Anasema hajapata zawadi kutoka kwa kaka yake.....
Ata ka-vitz tu bro.....
Haha nyengine mimi nishamjazia....
miss neddy saidia kuchagua showroom nzuri unayopenda.....Sema wapi niwakute mkanunue showroom!