Sentensi ya mwisho ukitoa hilo neno mama la mama basi ndugu Dr am 4 real PhD na mimi ingekuwa vyema siku yako ituhusu kwa chochote chenye uwezo wa kulewesha ili tukukabidhi zawadi zetu ,sababu ulijua kutuwazisha sana mwanetu .
Anyway happy birthday rafiki yangu tusiyejuana hata usoni ila naona tukimingle sana ,enjoy the day nigga