Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu na wazazi kwani ni siku ambayo nilikuja Duniani miaka 25 iliyopita. Napenda kujipongeza na kuwashukuru wote walionitakia Siku hii kuu njema na Nawapenda wote. Updates baada ya kutafakari sana nimeamua kusherekea siku hii kwa kuichangia JF pia. Naomba mkuu Invisible nipe utaratibu wa kuchangia kwa Mpesa
Last edited by a moderator: