Happy Birthday Michelle

Happy Birthday Michelle

Happy Bday Lady, i hope God will keep on opening more joy and happyness in your life. I LOVE U
 
......Hoping that your day will be as special as you are... happy bday my dear!:drum:
 
Sijachelewa...
michelle.gif
 
Michelle mbona sikuoni mama? happy bithdei my......Mungu akupe miaka mingine 120!!!
 
Michelle wewe ni zawadi, ya maisha duniani,
Kwao wowote weledi, wewe unayo thamani,
Kwazo zako juhudi, na michangi jamvini,

Kwa michango yako bora, daima huna kifani,

Kwa zako tele busara, na mwongozo jamvini,
Michelle wewe ni kinara, nuru yetu jamvini.

Hutupooza machungu, moyoni iwe amani,

Tupatapo maumivu, daima huwa pembeni
Nakuombea kwa Mungu, heri tupu duniani,,

Michelle u rafiki mwema, mwingine hapatikani,
Wajali pasi kupima, wajali bila rehani,

Mola akujaalie, yalo mema duniani,
Baraka akujazie, akujazie pomoni,
Mabaya akwepushie, uwe mwenye amani,

Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa.

welcome back dude!!!:biggrin1:
 
773px-Piping_buttercream_onto_cake.jpg

Mitchelle,
Iam the LAST one on this thread,

May this be the most JOYOUS day in the year 2011!

God Bless you dear!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom