Happy birthday Madame B

K, tuweke kauli kiurahisi,charminglady ni shem wangu kwa C6,n i wonder kwenye function kama hizo aje mwenyewe ilhali ni couples na C6? Hvo ndo nilivomaanisha mamii
One million dollar question kwa my bro C6,where where you?

Chimbuvu... nilipewa ruksa kuwa na 3some kwani bro ako hajakwambia???
 
Last edited by a moderator:
Madame B nakupa zawadi ya keki.....

​

​
 
Last edited by a moderator:
nilitaka nikupe bonge la zawadi, lakini sijui umezaliwa March au November?...au umezaliwa miezi yote miwili

Bwana we shem.
Hebu lete hyo zawadi me nimezaliwa November net.
 
Happy Birthday Madame B
Mwenye enzi Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na afya tele.......

I wish kama tungekutana pale kunako chimbo na ile timu yetu, remember Brajec
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Madame B
Mwenye enzi Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na afya tele.......

I wish kama tungekutana pale kunako chimbo na ile timu yetu, remember Brajec

asante kaka Mtambuzi.
Lol lile chimbo,balaa. Btw nadhani next week twakutana tena Brajec.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…