Happy birthday Madame B

Asante sana Dada yangu Kijino.
Unajua nilisahau kbs aiseee.....!!!!!!!
Kichwa changu kina mambo lukuki.
Thank u Dada kwa kunijali Mdogo wako.
Nimeipokea Hongera yako kwa Mikono Miwili.

ucjali dogo, ila utegemee cake ya dona na dagaa.
 
Last edited by a moderator:
Hapi basidei tuu yuu x2
hapi basidei dia Madame B
hapi basidei tuu yuu
unamumunya ubuyuuu
yuu luukuu laiki ee mankii
 
We mtoa mada Kijino umejuaje kuwa leo ni besidei ya mke wa mtu? Na we Ruttashobolwa kulikoni besidei ya mkeo mfungua uzi mwingine? Kalagabhao utafunga nepi mwana si wako.
Hongera lakini madam B kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa,mmmmmmmmwwwwwaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwanafunzi wangu Kaizer nashukuru sana kwa kweli,
japo umenisumbua sana darasani enzi hzo.
Njoo huku usherehekee B'day na mwl. wako.
Thanks mwalimu Madame B kukusumbua ndo akili zenyewe ivo. Haya nipe coordinates wapi leo?
 
Last edited by a moderator:
hepiiiiii bethdeiiii na hongera kwa kuwa muwazi na kutaja mvua ulizofikia....

embu anzisha sridi ya watu kutaja mvua zao kama utaona mtu anakoment....
 
hepiiiiii bethdeiiii na hongera kwa kuwa muwazi na kutaja mvua ulizofikia....

embu anzisha sridi ya watu kutaja mvua zao kama utaona mtu anakoment....

We Acha tu.
Nimeweka wazi ili nipate shikamoo kutoka kwa kina Bishanga, Baba V nakina Asprin manake walikuwa wananiona mtooooooooto
 
Last edited by a moderator:

Hilo busu lako nina hamu kweli ya kulipokea,
sema wapambe wamekaa pembeni,nikilipokea tu,Nongwa.
 
Last edited by a moderator:
happy birthday boss!kumbe na we chama la november!aahahahahhaahha kuna ka theory ntakakamilisha muda si mrefu hapa!nyie ngojeni! watu8 hebu andaa data nahisi kuna bonge la mifedha hapa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…