Ila hapa kama kuna ukweli vile!!
Nilifata mzigo China mpenzi nikapoteza contact zote na hata za kwako kichwani zilijifomat. Bado nakupenda pamoja na yote ndio maana niliporudi tu ulikua mtu wa kwanza kukutafuta.
Don go Madame B ntaficha wapi uso wangu mimi kwa kina Baba V?
Blaza we mbayaa wewe, wewe mbayaa wewe, we mbayaa we braza we ni noma...
huu uzi bado unahusu bday? eti Mwalimu wangu Madame B?
Shikamo Paka mweusi! niogope nini tena?Dogo huogopi..??
ahahhahahhahhahhaha kuna siku nyingine una adabu!lol!
Shikamo Paka mweusi! niogope nini tena?
na we mwanafunzi una maswali kama nini!huvi hujuagi kuwa birthday ina suti yake!sasa suti yake unataka mtu avae mwenywe ah!hebu muache mwalimu mwenzangu anaendelea kutetea suti yake avu..l ah sorry avalishwe na nani!
Mke wako nae ni mzima ? chupa itapasukaMarhabaaaaa mdogo wangu,nilikuwa nauliza kama huogopi kuwekwa kwenye chupa...
Nafurahi kusikia u mzima wa afya,
family yangu wote ni wazima pia
hajambo anaendelea vizuri na mwanae,
tanga mwatunyima nini?