Happy birthday Madame B

Wewe ulifikiri mapenzi yako kwako ni bure..??

Hii dunia ina watu wana wivu sijapta kuona. Yaani kumpenda Madame B wangu wanachoonga..
Alianza Baba V akachoka akaja yule loya Rutta akachoka akaja Arushaone nikamfungia kazi akakimbia jukwaa naoma nawe Mtakatifu Paka Mweusi unaanza michongo..
 
Yaani mamii Madame B wala usijalina penzi lako nitalitunza kama C6 na charminglady,,mamii kuteleza si kuanguka,tusimame tuendelee mbele tuna mengi ya kufanya,1;we hv to build family business ili tuweze kuja kutoa ajira kwa akina LARA1 Baba V C6 charminglady,na pia kodi kwa serikali itasaidia kupunguza kuombaomba misaada kutoka nchi za wahisani, 2.we hv to build our family 3,to help our both parents 4. To handle conflicts kama ya sa hv inayomhusu Nasema,hii imeonyesha ni kwa namna gani tulivyokuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto 5.kusomesha watoto wetu elimu nzuri sio shule za kata 6.we hv to build our mansion,itakuwa ni ghorofa la vioo ktk eneo la eka kama 10 hv. 7. Utamalizia


Nimekuelewa mpenzi wangu Chimbuvu.
Unajua kuna mahala nimeona kama vile unateleza.....
Hilo penzi langu nakuomba usiligawe popote maana twaweza kugombana bila sababu.
Tusimame imara ili akina St. Paka Mweusi na Baba V wasipate la kusema.
 
Last edited by a moderator:
Hii dunia ina watu wana wivu sijapta kuona. Yaani kumpenda Madame B wangu wanachoonga..
Alianza Baba V akachoka akaja yule loya Rutta akachoka akaja Arushaone nikamfungia kazi akakimbia jukwaa naoma nawe Mtakatifu Paka Mweusi unaanza michongo..


Na bado utaisoma tu,juzi katoka Lushoto na ameniomba wiki hii nimsindikize Mlingotini Bagamoyo akafunge kazi kabisaaaaaaaaaaaa..
 

Dah Mpenzi wangu,yote umemaliza wewe.
Sina la kumalizia wangu.
 
Last edited by a moderator:

Madame B Madame B na mimi nina roho mama, haya hayavumiliki mama.
Na wewe Chimbuvu japo yawezekana ni wa kwetu lakini lazima nikukomeshe. We muulize Arushaone nlichomfanya.
 
Last edited by a moderator:
Madame B Madame B na mimi nina roho mama, haya hayavumiliki mama.
Na wewe Chimbuvu japo yawezekana ni wa kwetu lakini lazima nikukomeshe. We muulize Arushaone nlichomfanya.

Ulinikimbia ktk shida.
Sasa nimempata mwenye mapenzi ya kweli,unajileta.
 
Ulinikimbia ktk shida.
Sasa nimempata mwenye mapenzi ya kweli,unajileta.

Nilifata mzigo China mpenzi nikapoteza contact zote na hata za kwako kichwani zilijifomat. Bado nakupenda pamoja na yote ndio maana niliporudi tu ulikua mtu wa kwanza kukutafuta.
Don go Madame B ntaficha wapi uso wangu mimi kwa kina Baba V?
 
Ila hapa kama kuna ukweli vile!!



Usiniamini baba nisikuvunjie ndoa yako changa,tatizo nina shahada ya uzamili ya Majungu,sasa angekuja Erickb52 mwenye udaktari wa Falsafa katika majungu sijui ungesemaje Madame B nakudai hapa unaona ninavyokufagilia...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…