Happy Birthday Lizzy...Licious

Happy birthday mpendwa Lizzy, mungu akupe maisha marefu.... Namtafuta King'asti tuje huko tuanze shughuli ya upambaji, upande wa mapishi tumemwachia klorokwini.
 
:horn::A S-rose::hungry:Happy:hungry:Birth:hungry😀ay:hungry::A S-rose::horn:
 
2 * 3 kwa siku saba atakaa mahali pake kabisa.

Na wewe gongo linakulandua akili! Vuta bhange kichwa ikae sawa! Umenisahau mie mdogo wako,jina la home liligoma kusajiliwa jf,kha!
 
HBD LIzzy mtoto mzuri, najua utakuwa na miaka 21 sasa hivi...hongera sana, niwekee UNGA wa ngano kiloba kimoja nikifika.

 
Hivi kuna wanyama wengine zaidi ya binadamu wanaadhimishwa birthday zao?
Ulitaka avizie za punda? te te te

Happy Birthday Lizzy
Afu TF we unavizia tuu birthday za watu eehhh
 
Happy Birthday mmkwe......M/Mungu aendelee kukulinda na kukujalia afya njema
ngoja niwasiliane na Preta tuwahi kukaribisha wageni
 
May you live to be a hundred yearsWith one extra year to repent.LuvFL1
 
happy birthday lizy, ntaleta madumu ya BOHA tinywe tile tifurahi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…