Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
Aisee unajua leo Ijumaa kwahiyo karibu sana kwenye sherehe usisahau kumpitia na Rejao ila mwambie marufuku kuvaa nguo za kijani...lolHappy Birthday Lizzy
Afu TF we unavizia tuu birthday za watu eehhh
Aisee unajua leo Ijumaa kwahiyo karibu sana kwenye sherehe usisahau kumpitia na Rejao ila mwambie marufuku kuvaa nguo za kijani...lol
Mbona Rejao kwenye kabati yake hana nguo za rangi nyingine zaidi ya kijani
Aise halafu imeangukia pazuri sana ni ijumaa aise
Mhhh wacha fujoHepi beth dei dada mpendwa!Ngoja nimalize kupalilia huu mpunga nikadandie ka helikopta ka Rocky nije fasita!
Example of rock in the world are:
Granite.
Andesite
Dolomite
Gneiss
Mhhh wacha fujo
..Mkuu jina la Lizzy ulimi ukiteleza kidogo unaweza taja jina la mtoto wa Mpangaji wa Ikulu ya Magogoni.hepi bday lizzy one
Patner unakosea bana, ukimkataza Rejao kuvaa nguo za kijani atapiga ile suti yake ya manjano, lol. Manjano na kijani bora nini?Aisee unajua leo Ijumaa kwahiyo karibu sana kwenye sherehe usisahau kumpitia na Rejao ila mwambie marufuku kuvaa nguo za kijani...lol