Happy Birthday Lionel " Leo " Messi

27581496ab5aa5d3ee0a6923acfc1375.jpg
7039deb449d62dfc3d3eda6a67ddcfee.jpg

HBD record breaker
 
King Mfalme wa Soka duniani. Ooooh Lionel Messi mzaliwa wa Huko Rosario Argentina. Unaowasumbua makipa duniani

Mchezaj kama Messi huwa anazaliwa kila baada ya miaka 1000

HAPPY BIRTHDAY KING LEO MESSI

hakika tumepata cha kuhadithia kwa vizaz vijavyo
 
Screenshot_2016-04-21-17-03-29-1.png



Huyu ndiye the King hana makuu na mtu kama ni rafu uwanjani wanamfanyia lkn hapendi kulalamika na kuanzisha fujo ,asiejiona,sio mbinafsi,hajui kuringa,hapendi kujisifu na kujiweka bora zaidi ya wachezaji wengine hali yakuwa yeye ni bora zaidi kuwahi kutokea,
 
Nashukuru sn kumuona MESSI nikiwika enzi zangu za ujana. Hapa mm ndie nitakuwa nasimulia uzeeni badala kusimuliwa Ooooh Maradona, Mara Oooh PELE!!

MESSI ni mwisho, full talented!! Achana na wale wa kukaza msuli, full Physical, kukesha mazoezini (CR7).
 
Samweli eto alisema mess akistafu soka ataendeee kuwashi zaidi ya miaka hamsini mess no ni Habari nyingine
 
  • Thanks
Reactions: PNC
King Mfalme wa Soka duniani.
Ooooh Lionel Messi mzaliwa wa
Huko Rosario Argentina.
Unaowasumbua makipa duniani
Mchezaj kama Messi huwa
anazaliwa kila baada ya miaka
1000
HAPPY BIRTHDAY KING LEO MESSI
hakika tumepata cha kuhadithia
kwa vizaz vijavyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom