Ni miaka kadhaa tangu mama na baba wakulete hapa duniani tarehe kama ya leo. Nami kwa upendo mkubwa naomba niwashirikishe member wenzangu wote wa JF katika siku muhimu sana ya leo.
najua mkuu lady doctor ni mdau maarufu sana hapa jukwaani,
umemcheleweshea haki yake kwa wanajamvi.
pia sijakuona hata ukiwaita marafiki zake waje wam'wish kama yeye anavyofanyaga..
ngoja mi nimwite mpenzi wangu hapa aje amtakie maisha marefu.
sweety miss chagga come this way leo ni birthday ya lady doctor
Amon of really sister wangu kisheria Lady doctor yo're in my list!
Nikutakie kila la kheri bwan'shee A moko aendelee kukudungua pregy za kutosha! Ikibidi mwaka mimba , mwaka mtoto !