####### Happy Birthday Kivumah######

Naomba mnielekeze hivi stoo ya vinywaji iko upande gani nataka kwenda kuhakikisha kama vinywaji vinatosha jamani
 
ahahaahahaha! dah! usinipandishe mzuka saizi kabla party haijaanza, pombe yenyewe bado haijaiva vizuri kwenye mitungi.
 
sihitaji mtu anisindikize kwenye stoo ya vinywaji naweza kwenda mwenyewe AD na Dena nipe tu direction basi inatosha
 
Hivi Sinziga... Sangara... wakwap??? Maana Birthday boy najua yupo na home kwetu...
 
sihitaji mtu anisindikize kwenye stoo ya vinywaji naweza kwenda mwenyewe AD na Dena nipe tu direction basi inatosha

My dear im so sorry
lakini we haupo kwenye idara ya vinywaji ..
we na Kaizer .. Hapana..

Nyie njoeni tu kama V.I.P basi ..
hahahah lol 🙂
 
ahahaahahaha! dah! usinipandishe mzuka saizi kabla party haijaanza, pombe yenyewe bado haijaiva vizuri kwenye mitungi.

hahahahah
duhhhh hizi pombe za kienyeji
si zinatakiwa ziwe zimepikwa tangu wiki iliyopita au ??
usiniangushe naombaaaaa..🙂
 
Happy Birthday mkuu....
nasikia kuna party wapi hiyo???
au ni porojo za jamvini?
wewe na JK siku moja anyway long live mkuu
 
Khaaaa! Shemeji mbona ilitakiwa kuwa siri hii
Kuna elite forces zamlinda SL wangu...
 
halo hiyo Katuni ya Simpson imefanana na avatar ya Rejao....
hiyo party hakuna kadi za mwaliko???

Party ya .. Kivumah

Muda.. 7.30 PM
Siku .. Friday
Sehemu.. Peacock Hotel

Nyote mnakarishwa..

Dress to impress ..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…