....Naomba JF Members wooote kila mmoja akate kipande chake cha Keki hapo juu, Tule tufurahi pamoja.
Thank U. Hio Namba hapo juu it means a lot to me Leo hii.
Thank U sooo Much AD,
Kivumah.... I am happy for you kua you have been LUCKY
kufikia Umri ambao ni brand new kwako....
Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akubariki na kukuzidishia
miaka mingi maisha yalojawa na Upendo na Mafanikio pia....
😛oa...HAPPY BIRTHDAY...😛oa
mmhhh jamani.
Nlishe basi..
sasa Party ya Kivumah tunaifanyia wapi.??
shiiiiiiiiii usimwambie ni Surprise...🙂
Subiria kwanza, manake The Finest na Kaizer ndo tuliwapta tenda ya kutafuta ukumbi, sasa huyu AshaDiianajua na anaweza kuvujisha siri kwa Kivumah wakati hii ni suprise
...Thank U Preta,happy bitrhday Kivumah....asante kwa keki pia
Hapa sasa ndo umemwaga siri Sinziga!! (wee ndo utalipa excess ya hela katika budget kama adhabu! lol)
Na tafadhali....sera hii kwenye signatory izingatiwe...we Kivumah, waambie waalikwa kwamba:
Subiria kwanza, manake The Finest na Kaizer ndo tuliwapta tenda ya kutafuta ukumbi, sasa huyu AshaDiianajua na anaweza kuvujisha siri kwa Kivumah wakati hii ni suprise
...@Red, i`ve got a feeling, that tonight gona be a goooooood goood nite. yeahmmhhh jamani.
Nlishe basi..
sasa Party ya Kivumah tunaifanyia wapi.??
shiiiiiiiiii usimwambie ni Surprise...🙂
The Finest na Kaizer combination mbaya sana hiyo..
utawakuta counter ya juu mchana kweupe..
Hapo umeniangusha ntafutie watu
wengine chop chop please thanx...🙂
...@Red, i`ve got a feeling, that tonight gona be a goooooood goood nite. yeah
The Finest na Kaizer combination mbaya sana hiyo..
utawakuta counter ya juu mchana kweupe..
Hapo umeniangusha ntafutie watu
wengine chop chop please thanx...🙂
Basi tuunde tume kama vipi...manake hayo makontena yakija yataisha kabla ya jioni....
Hapa Sweetie itabidi anisamehe maana nimeona hilo ila as a wife bana nilishindwa.....
The Following 3 Users Say Thank You to afrodenzi For This Useful Post: