"Happy Birthday KATAVI"

"Happy Birthday KATAVI"

Umeanza kutumia wanamme maua eeh? Ntakusemea kwa dingi!

Katavi, happy bday mkuu. Nakutakia maisha mema, ya furaha na marefu kama utakaa mbali na haka kadogo kangu!
I am dancing and singing on your birthday!
Only that you cant see me!!
Happy birthday
Wish I was celebrating with you.
images
 
Umeanza kutumia wanamme maua eeh? Ntakusemea kwa dingi!

Katavi, happy bday mkuu. Nakutakia maisha mema, ya furaha na marefu kama utakaa mbali na haka kadogo kangu!
Acha hizo King'asti, dingi mwenyewe kamruhusu aniletee hayo maua........ila hilo la kukaa mbali na kadogo kako linakuwa ngumu.....lol!!
 
Dah! Dogo mbona hujaniambia? Nway, uje kesho uchukue zawadi yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom