Happy birthday Kamanda Mdude Nyangali Chadema , Dunia ilikunusuru na kifo baada ya kutekwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,231
Heri ya kuzaliwa kamanda mpambanaji, usiyeogopa wala kurudi nyuma,  Mungu akupe .jpg

Leo ni siku ambayo alizaliwa Kamanda Mdude Nyangali ( Mdude Chadema ) , mtu ambaye kama Wananchi wasingepiga kelele wakisaidiwa na Wazungu ( Mabeberu ) ikiwa ni pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali za ulaya na Marekani hivi leo angeadhimisha Birthday yake kaburini au ndani ya kiroba .

Binafsi namtakia heri kubwa sana mdogo wangu Mdude na namwambia ana deni kubwa sana kutoka kwa watu waliopigania Uhai wake na ni lazima deni hilo alipe
 
Siku hizi anakosoa kwa adabu sana.

Kabla ya kipigo alikuwa anaona kila mtu ni sisimizi tu anayefaa kutukanwa na kukosolewa kwa matusi.
 
Mimi mwana CCM nazipokea hizo salamu zako mleta mada za happy birthday za kinafiki Mbowe hakwenda hata kumwona hospitali ya serikali alikotibiwa vizuri Pamoja na kutukana hospitali za serikali kuwa haziwezi tibu hata mende.Lakini zilimtibu vizuri Hadi Leo munamuwishi happy birthday .Hakuna kiongozi wa juu wa chadema alienda hata kumpa pole hospitali au nyumbani .Wakati Mbowe ,Na viongozi wa chadema mtu wa kaskazini akilazwa lazima waende kumuona hata Kama anadeka.Asante salamu zenu za kinafiki kwa mtu asiye wa kaskazini Mdude Mimi mwana CCM nazipokea mikono miwili kwa niaba ya Mdude
 
Uchawi ndio nguzo kuu ya chama chakavu
 
Umedhihirisha namna CCM mpya na serikali yake inavyowajaza wananchi sumu ya ukanda na ukabila kwa bidii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom