Viongozi wataka uchunguzi kutekwa kwa mwanaharakati Mdude Chadema

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,009
Viongozi wataka uchunguzi kutekwa kwa mwanaharakati Mdude
Thursday May 9 2019
MDUDE+PIC.jpg

Kwa ufupi
Wabunge na viongozi mbalimbali wamepaza sauti kuomba kufanyika kwa uchunguzi juu ya saula la kudaiwa kutekwa kwa mwanaharakati Mdude Nyangali maarufu Mdude Chadema

By Aurea Semtowe, Mwananchi
Dar es Salaam. Wabunge na viongozi mbalimbali wamepaza sauti kuomba kufanyika kwa uchunguzi juu ya suala la kudaiwa kutekwa na kupatikana kwa mwanachama wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Mdude Nyangali maarufu Mdude Chadema.

Sauti hizo wamezipaza kupitia mitandao yao ya kijamii baada ya Mdude anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Jumamosi iliyopita ya Mei 4, 2019 mjini Vwawa mkoani Songwe.
Wametoa kauli hizo ikiwa zimepita saa chache tangu Mdude kupatikana akiwa ametupwa na watu wasiojulikana jana usiku Jumatano eneo la Inyala, Mbeya Vijijini.
Katika ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete ameandika: “Hivi ni vitendo vinavyochafua nchi yetu.”

Ridhiwani ambaye ni mtoto wa Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameongeza: “Ni muda mwafaka sasa kwa vyombo vyetu vya ulinzi kujipanga kupambana na hali hii inayoendelea kuchafua nchi yetu. Pole sana Mdude, Chadema kwa janga hilo. Nikuombee upate nafuu haraka Mungu atakujaalia kheri.”

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter: “Pamoja na kufurahia ndugu yetu Mdude Nyangali kurudishwa akiwa hai na kumwombea apone, Tusibweteke.
“Tupaze sauti kutaka uchunguzi wa matukio haya ya utekaji. Ni rahisi kujisahau na kujipongeza kwa kelele mtandaoni na baada ya miezi kadhaa atachukuliwa mwingine.”

Rais mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS), Fatma Karume ameandika kwenye Twitter yake: “It’s not over (sio mwisho). Tunahitaji information (taarifa) ya hawa watu waovu waliomteka Mdude. Tunahitaji kupata information kutoka wananchi. Hawa watekaji ni binadamu na wanaishi mitaani.”

Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki
katika ukurasa wake wa Twitter ameandika: “Pole sana Mdude, Chadema Mwenyezi Mungu mwenye utisho wa utukufu, mwenye uhai wa milele atakurejeshea afya yako.”

Mwanachama wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter: “Nimeamka na faraja kufuatia taarifa za kupatikana Mdude Nyagali baada ya kampeni kubwa ya #BringBackMdudeAlive.

“Nimeumizwa na hali yake mbaya inayoashiria mateso aliyopitia. Wito wangu kwa Watanzania sasa ni kuungana kudai uchunguzi huru wa kimataifa ufanyike kuhusu matukio haya!”
 
These people want to lead for the sake of it but they know no leadership neither do they have an inclusive agenda.
Their leadership has been a rain of mistakes so far but they dont look back and learn from those mistakes and this is why they keep repeating the same pattern of mistakes!

This york above our shoulders is rough and heavy!
We couldn't go nowhere with this!
 
Mkuu "Bak" nikuulize, imekuwa kawaida siku hizi kila nikiandika comment yangu jukwaani, kale kajicho kanaonekana kutia kwenye uzi huo hata kama hakuwepo, hii maana yake nini!!!?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We don’t have to stay quiet and let this killer in state house and his puppets destroy our beautiful country.

Evil can only triumph if good men stay quiet!
And if we keep quiet, 2020 Evil will triumph again
 
Hata sielewi Mkuu. I hope you’re not using your real name Mkuu.

Mkuu "Bak" nikuulize, imekuwa kawaida siku hizi kila nikiandika comment yangu jukwaani, kale kajicho kanaonekana kutia kwenye uzi huo hata kama hakuwepo, hii maana yake nini!!!?
 
suluhsho cdm wajipange kulipa kisasi,hakuna uchunguz wowote hapo,kama Lissu, Ben Saanane,azory Gwanda Mpaka leo hakuna uchuz wowote ambao umefanyika sempuse Mdude Chadema? Nadhan kuna shda kwa viongoz wa chadema,haiwezekan utekaj uwe kwa CDM kila kukicha. kama wao wanaweza mafunzo waliyapata wap wao na cdm washndwa na ruzuku kibao au n kwa manufaa ya kwao 2 na sio wanachama wao?
 
These people want to lead for the sake of it but they know no leadership neither do they have an inclusive agenda.
Their leadership has been a rain of mistakes so far but they dont look back and learn from those mistakes and this is why they keep repeating the same pattern of mistakes!

This york above our shoulders is rough and heavy!
We couldn't go nowhere with this!
magu was not well prepared for leading
 
Viongozi wataka uchunguzi kutekwa kwa mwanaharakati Mdude
Thursday May 9 2019
MDUDE+PIC.jpg

Kwa ufupi
Wabunge na viongozi mbalimbali wamepaza sauti kuomba kufanyika kwa uchunguzi juu ya saula la kudaiwa kutekwa kwa mwanaharakati Mdude Nyangali maarufu Mdude Chadema

By Aurea Semtowe, Mwananchi
Dar es Salaam. Wabunge na viongozi mbalimbali wamepaza sauti kuomba kufanyika kwa uchunguzi juu ya suala la kudaiwa kutekwa na kupatikana kwa mwanachama wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Mdude Nyangali maarufu Mdude Chadema.

Sauti hizo wamezipaza kupitia mitandao yao ya kijamii baada ya Mdude anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Jumamosi iliyopita ya Mei 4, 2019 mjini Vwawa mkoani Songwe.
Wametoa kauli hizo ikiwa zimepita saa chache tangu Mdude kupatikana akiwa ametupwa na watu wasiojulikana jana usiku Jumatano eneo la Inyala, Mbeya Vijijini.
Katika ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete ameandika: “Hivi ni vitendo vinavyochafua nchi yetu.”

Ridhiwani ambaye ni mtoto wa Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameongeza: “Ni muda mwafaka sasa kwa vyombo vyetu vya ulinzi kujipanga kupambana na hali hii inayoendelea kuchafua nchi yetu. Pole sana Mdude, Chadema kwa janga hilo. Nikuombee upate nafuu haraka Mungu atakujaalia kheri.”

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter: “Pamoja na kufurahia ndugu yetu Mdude Nyangali kurudishwa akiwa hai na kumwombea apone, Tusibweteke.
“Tupaze sauti kutaka uchunguzi wa matukio haya ya utekaji. Ni rahisi kujisahau na kujipongeza kwa kelele mtandaoni na baada ya miezi kadhaa atachukuliwa mwingine.”

Rais mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS), Fatma Karume ameandika kwenye Twitter yake: “It’s not over (sio mwisho). Tunahitaji information (taarifa) ya hawa watu waovu waliomteka Mdude. Tunahitaji kupata information kutoka wananchi. Hawa watekaji ni binadamu na wanaishi mitaani.”

Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki
katika ukurasa wake wa Twitter ameandika: “Pole sana Mdude, Chadema Mwenyezi Mungu mwenye utisho wa utukufu, mwenye uhai wa milele atakurejeshea afya yako.”

Mwanachama wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter: “Nimeamka na faraja kufuatia taarifa za kupatikana Mdude Nyagali baada ya kampeni kubwa ya #BringBackMdudeAlive.

“Nimeumizwa na hali yake mbaya inayoashiria mateso aliyopitia. Wito wangu kwa Watanzania sasa ni kuungana kudai uchunguzi huru wa kimataifa ufanyike kuhusu matukio haya!”
Kwa ujasiri aliouonesha lizi one,kuanzia Leo naanza kumhesabu kama binadamu pekee ndani ya kundi la kijani
 
Nani aruhusu wachunguzi huru ilhali wachunguzi wetu wana weledi wa kutosha kuleta majibu kwa matukio hayo? Inawezekana "alijiteka..."
Hakuna aliye salama tuombe sana Mungu.
Mungu amsaidie mdude kurejea katika afya yake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
He is simply not a leader Mkuu just another hooligan and nduli who will do anything to run away from norms, procedures and constitution in order to hide his lack of vision and leadership ability.

magu was not well prepared for leading
 
chadema acheni tabia ya kutekana mpate kick
Ikiwa kusema yanayohusiana na siasa tu "vyesi vinahusika" vipi ingelikuwa wanatekana kama mnavyodai siku zote?
Au mnataka kutuaminisha kwamba dola na vyombo vyake viko chini ya Chadema?
Nitashukuru kwa majibu mheshimiwa unayejua uhalifu huo na chanzo chake...

Macho na masikio bila kusahau vilio na manung'uniko vitaendelea kuwahusu wahusika wa kadhia... kwanini wanatishia na kutoa vitisho ili midomo isihoji yasiyokwenda sawa kunani?
 
Back
Top Bottom