Happy Birthday kamanda mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy Birthday kamanda mbowe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by 3squere, Dec 9, 2011.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kamanda freeman mbowe kazaliwaaaaaaaaaa
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  HBD kamanda mungu akupe maisha marefu na asikubadilishe msimamo wako wa kuwatetea na kuwasemea wanyonge ambao hatuna sauti,hongera mzee wa anga na chadema
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Mods tunaomba muipeleke hii kwenye Jukwaa la JF chit chat au jukwaa la jokes.
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  matola nini tena?
  Ni kweli kuwa Mbowe alizaliwa 9 Disemba 1961, sasa inakuwaje uzi upelekwe jukwaa la jokes?
   
 5. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huyu kamanda mbowe ndo anatimiza miaka 50 leo, na kulingana na historia ya tanzania. Tanzania haijawahi kupata uhuru na bado inatawaliwa na wakoloni ndugu zetu weusi. Nchi iliyopata uhuru na ni Tanganyika na zanzibar kila moja na miaka yake. Kwa sasa hatunae Tanganyika aliuwawa na tuliye nae ni Zanzibar, wanasheria wanalijuia hili fika ila ni waoga kulizungumzia. Na kwa mantiki hiyo natumia fursa hii, kuishauri serikali iache kuwapotosha Wadanganyika kwamba wanasherekea miaka 50 ya uhuru, wa Tanzania. Chadema sherekeeni miaka 50 ya kuzaliwa kwa kiongozi wenu wa Taifa Hon. Freeman Aikael Mbowe. Nami pia natumia fursa hii kumtakia Happy Birthday Hon. Freeman Mbowe, kwa kutimiza miaka 50 leo. Mungu akujalie maisha marefu, baraka na mafanikio wewe na familia yako.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Mi nimeshangaa nikadhani sababu nie ni mgeni sijajua fomula

  happy birthday mbowe

   
 7. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jamani leo ni siku ambayo na shindwa kuidadamvua, jana nilienda msibani kumzika veterani na mfanyakazi wa TRA na rafiki yangu wa karibu. Madesho huko upareni mamba ugweno. Hivyo nikachelewa kurudi mjini moshi kwa ajili ya shughuli zangu za ki' bank, sikukumbuka kwamba leo hazitafunguliwa duh! Nahofia biashara zangu kukwama leo kutokana na kukosa pesa za kuwalipa wateja wangu, hili adhimisho limesha kuwa nuksi kwangu, biashara zangu za fedha leo zitakwama kwa kukosa pesa za kuwalipa wateja. Miaka 50 ya majuto na kingwendu kwangu.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mbowe yaelekea hajui miaka yake. atakuwa among wale wazee wanaosemaga wamezaliwa siku ya uhuru!!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  siku baba yake alipokua anakabidhiwa uhuru na Mwingereza huku nyuma mama yake alipatwa na uchungu akamzaa mwana FREEMAN lakini kwa bahati mbaya ilibidi majina ya mwisho wamuite AIKAEL MBOWE jina la mume wa mama yk ili ishu isishtukiwe. HAPPY BIRTHDAY KAMANDA FREEMAN J.K
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa ulitaka kusema nini!!
  Yaani Mh. Mbowe na Nyerere ni mtu na m......!!!!
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Hii habari nimeisikia sana, kwamba JK original alikuwa akienda machame, mzee Mbowe katika kumkiimu alikuwa anamuachia mmoja wa wake zake ili amkirimu kwa usiku usika, sasa hapa ndipo linapokuja swala la Mbowe kufanana sana na Makongoro, lakini hili kwa mtu wa Umri wangu kulizungumzia ni majungu tu, labda wale wachaga wenyewe wa Machame waliokuwa karibu wakati huo ndio wanaweza kukanusha au kuthibitisha uvumi huu.
  Tukiendekeza majungu ipo siku tutasema Sister P ni Mtoto wa Remmy.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa mbona umeishamwaga majungu!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Hizo ni tetesi,.........
   
 14. M

  Ma Tuma Senior Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Oh pole na msiba wa madesho.sikwenda pole sana
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Napita wakuu!
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Matola Mzima wewe?? Usharudi bongo?


  BTW HBD Mkuu Mbowe....:biggrin:
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Ritz.....
   
Loading...