Happy birthday Jovitha wangu

Happy birthday Jovitha wangu

Najua unafuraha sana kufika katika siku hii ya Leo. Furaha yako ndio uzima wangu. Kuzaliwa kwako kumeifanya dunia istarehe Kwa kuwepo mrembo kama wewe. Natambua nafasi yako katika Mtima wangu.

Basi itoshe kusema nimefurahi kushirikishwa nawe katika uhai wangu. Nawe furahi katika njia yako pamoja nami.

Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wangu wa karne.

Uishi miaka impendezayo Mola wetu mlezi.



Cc: Jovitha

Natamani huu utunzi ungeimbwa wa ajili yangu. hongera kwa penzi la dhati big up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom