Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Ahsanteee mwenyeji wanguuu wa Jf cha ushauri wanguHappy birthday jovitha.
Umeshaongeza umri sasa usonge mbele na sio kurudi nyuma.
Cc😛aprika
Ahsanteee mwenyeji wanguuu wa Jf cha ushauri wanguHappy birthday jovitha.
Umeshaongeza umri sasa usonge mbele na sio kurudi nyuma.
Habari za sicily?kama unamaanisha vile
We jovitha wewee mimi ndio cha ushauri wako lol.Ahsanteee mwenyeji wanguuu wa Jf cha ushauri wangu
Cc😛aprika
Bby hizo emoji zina maanisha nini
Thank u my lovely sisterhappy jovie

Nimekupendaaa emmyta hahahaa kamdoliWe jovitha wewee mimi ndio cha ushauri wako lol.
Hebu ondoa hiyo cha.

Mhhhh nan kakwambia ni jovitha wako?Najua unafuraha sana kufika katika siku hii ya Leo. Furaha yako ndio uzima wangu. Kuzaliwa kwako kumeifanya dunia istarehe Kwa kuwepo mrembo kama wewe. Natambua nafasi yako katika Mtima wangu.
Basi itoshe kusema nimefurahi kushirikishwa nawe katika uhai wangu. Nawe furahi katika njia yako pamoja nami.
Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wangu wa karne.
Uishi miaka impendezayo Mola wetu mlezi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Cc: Jovitha
Thank uhappy birthday jovitha wa miker
Akuuuu chitakiHpbd Jovi....hata kapicha basi tukuone
Kwani we unampenda nani zaidi? Mimi au @michaelray![]()
mbn unaniharibiaa
Cc michaelray
Take it easy.Mhhhh nan kakwambia ni jovitha wako?