Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,390
- 21,041
30 May
Kuna thread kama hii nadhani.
This one here
Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.www.jamiiforums.com
19/01
Nimeona huu Uzi ndo nimekumbuka kumbe ni Leo,
Nasherehekea kwa kuendelea kupiga kazi zangu zinazoniingizia kipato.
Duuh kwel muda ni mchache mambo ni mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
We share the same18/4
Mi naomba niwe pacha wakoPacha wangu awe kanizidi au nmemzidi jitokeze
14 october aka nyerere day