Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,047
- 219,044
Mungu akupe maisha marefu na akuwezeshe kutuletea Uhuru kamili , uhuru wa mawazo , uhuru wa kiuchumi , uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wote kabisa kabisa .
Ushujaa wa Mbowe umetukukaHuyu ni jembe
Mungu amsimamie hasije akegeuka wa Tznia wanao penda siasa za demokurasia na usawaMungu akupe maisha marefu na akuwezeshe kutuletea Uhuru kamili , uhuru wa mawazo , uhuru wa kiuchumi , uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wote kabisa kabisa .
View attachment 961340
shika moja hii hapaMbowe ana birthday ngap makamanda
HAKIKA.Ushujaa wa Mbowe umetukuka
HahahahaMbowe ana birthday ngap makamanda
Leo utakunywa sana kimpumu na Mbege!Mungu akupe maisha marefu na akuwezeshe kutuletea Uhuru kamili , uhuru wa mawazo , uhuru wa kiuchumi , uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wote kabisa kabisa .
View attachment 961340
Wanataka michango ya birthday wakamlipe wakili msomi Kibatala!birthday yake sio tarehe 14 septmber?