Happy Birthday Jabali la siasa za kisasa Freeman Mbowe , ulizaliwa siku ya Uhuru na bado unapigania UHURU KAMILI

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,562
217,896
Mungu akupe maisha marefu na akuwezeshe kutuletea Uhuru kamili , uhuru wa mawazo , uhuru wa kiuchumi , uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wote kabisa kabisa .

Leo Desemba 9 siku ya kuzaliwa kwa kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, .jpg
 
Happy bday kaka hakika haya mateso ya huyo mshamba yatapita ww ni mtt wa mjini yuko pmj na ww
 
HBD kamanda Mbowe!
Umegoma kuwasaliti Watanzania Kwa ahadi lukuki cash ,teuzi,upendeleo. Historia itakukumbuka katika Ukombozi na uhuru wa kweli wa Watanzania. Hawa wajinga na washamba watapita haki itasimama.
 
Back
Top Bottom