Babu shikamoo....thanks for ur wishes...namtafuta pacha MR cjui yupo kona ipi aje tukate keki na kuzima mishumaaa
Chetuntu hapo juu, muda si mrefu ntaanza kukuchukia.
Najua unalijua kosa lako....:sleepy::sleepy::sleepy:
Umesamehewa dhambi zako kijana.
Chondechonde msitiane mimba...... sijafikia umri wa kupata vitukuu.