Happy Birthday ICHANA

afu mzungu gani pesa kwanza jamani ngoja mokoyo aje lol

Mokoyo anajua huo mpango wako lakini au umepanga wewe tu?

usilete habari kama za mwanafulani aliyekuwa amamwita fulani wangu twende tukalale huku mwenzie anamuita dada.....utaumbuka...
 
Last edited by a moderator:
Happy belated birthday ICHANA...hope u enjoyed!
 
Last edited by a moderator:

Jana nilikuachia kazi nataka majibu
Sasa kwa maana naona kuna mtu alikuwa anataka kufanya maombi na huby wangu
Angejua jna nilikuwa nabembelezwa nimelalia kifuan heee
 
Last edited by a moderator:
waoooooooooooooooo!! nilikuwa wapi mie jamani

Happy belated birthday wifi yangu ichana
 
waoooooooooooooooo!! nilikuwa wapi mie jamani

Happy belated birthday wifi yangu ichana

thanks bestisto wangu
Mokoyo kakuita uje ule keki wewe huonekani....
nafurahi kusikia kwako...next time tutakuja hme kukuchukua
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday ICHANA, Mungu akulinde siku zote za maisha yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…