Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,862
- 8,511
Kwa maneno haya ule msemo wa "vyuma vimekaza"hauingii kabisa maskioni.....mapenzi ya njiwaa....aaarh let me wear archduke shoes for this moment....
Asante sana.am so grateful sis in law, thank you for your contribution
tunakupenda sana
asante sana shemeji yangu wa zamaniHappy birthday to him... Furaha na mafanikio viambatane nae siku zote za maisha yake
always bro pamoja sanaaAhsantee you're a brother with benefit
Kwa maneno haya ule msemo wa "vyuma vimekaza"hauingii kabisa maskioni.....mapenzi ya njiwaa....aaarh let me wear archduke shoes for this moment....
thank youHappy birthday Archduke
Hahaha nina uhakika asilimka zote viatu vyake either vitakubana au vikupwae kabisaKwa maneno haya ule msemo wa "vyuma vimekaza"hauingii kabisa maskioni.....mapenzi ya njiwaa....aaarh let me wear archduke shoes for this moment....
Ujue nimecheka sana hahhahahaha et s kazi rahisi kuishi na madame kwa kipi hasawallah nimeelewa hapo kwenye rangi tu....ila tu nikuambie ukweli unaweza ukavaa viatu vyangu ila si kwa madame (unielewe vizuri hapo) haikuwa kazi rahisi kumpata madame na wala si kazi rahisi kuishi na madame.....utaumwa bure
thanks for coming
umbea tu, kwa mondrayEnhe shemejio kwa nani
sitanii eti, mfano jana ulitaka kunianzishia sijui ilikuaje tu pale yakaisha 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Ujue nimecheka sana hahhahahaha et s kazi rahisi kuishi na madame kwa kipi hasa
am walking awayHalafu iweje