Happy birthday honey, Archduke

Happy birthday honey, Archduke

kweli tena darling
tenor.gif
 
Happy birthday Archduke roho ya Madame s Mungu awalinde na mabaya yote na awafanyie wepesi kwa mambo mnayomuomba nawapenda [emoji8]
 
Mimi naomba haya maelezo nihifadhi. Kuna mtu ikifika siku yake ya kuzaliwa nipost.

Heri ya siku ya kuzaliwa kwa mhusika.
 
Happy birthday Archduke roho ya Madame s Mungu awalinde na mabaya yote na awafanyie wepesi kwa mambo mnayomuomba nawapenda [emoji8]
asante sana..dada yangu, rafiki yangu, shemeji yangu, kapuku mwenzangu.

tunakupenda zaidi
 
Happy birthday to him... Furaha na mafanikio viambatane nae siku zote za maisha yake
 
Back
Top Bottom