Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Ngoda hawezi kuusahau mpambano ule.Kwa sasa nimekuwa mbaba wa kuitikia "aamen" au "haleluyaa" kila niambiwalo na wife.Maisha yanaenda bila hata kutumia grisi
Haha haha Yaani wewe hunishindi mimi siku hizi hata mipira ya MAN U napishana nayo.

Wabeijing walikinukisha mnoo!!
 
Mkwe na changu usisahau.
052b6d7e25d13d86deee62adee650593.jpg


Ready to be parked.

Huwa sitanii mimi..! Nakileta mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom