Hongera kwa kutimiza miaka 4..
What????????
Hongera....!
heri ya kuzaliwa Heaven on Earth from me and kiwatengu
Nakumbuka nilipokuwaga hapa kama "Member kiherehere" wewe Heaven on Earth na mletamada charminglady mlikuwa wadau wangu wakubwa!
Na kwa hilo basi , kwa heshma yenu nimelazimika kutia maguu hapa kum'wish mlengwa "PEPO YA DUNIANI" Mungu ampe zawadi ya maisha marefu .
we poa! :A S wink:
kwanza kesho uje nikununulie kichuri hapa buzuruga!
boya wewe!