Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
Mkuu kuna maisha nyuma ya hapa tulipo...
Pia kuna watu katika profile pages zao za JF wameweka tarehe za kuzaliwa...
Tunajulia fb. Ngoja ntakuanzishia uzi manake we ar friends kule
Pamoja sana mkuu. miaShurkan Mkoroshokigoli kwa kuchukua fursa na wakati wako kuniazishia uzi huu,much appreciated 🙂i have to admit JF have gave me true friends who have a huge impact on my life,who are always there to support me wherever i am even though i am far from them!Two words of wisdom advice can make a change on someones life!Thnx for all members of JF who are here on this thread to celebrate this special day with me,ahsanteni kwa dua zenu na birthday wishes mlizonitakia! Long live Jamiiforums!nitakuwa si mwema wa fadhila kutokumshuru mungu kwa kunipa uhai,uzima,afya njema na kila neema kwenye maisha yangu,bila kumsahau mama gorgeousmimi kwa uchungu aloupata siku hii ya leo!Ahsante wapendwa wote
Vaislay tinna cute Eli79 miss neddy The Boss Himidini Ablessed BAK Kim nana Fixed Point Kennedy utafiti mwekundu KhantweEvelyn Salt Sandeni sungura1980 watu8 ICHANA Rogie Nokia83 Mtoto halali na hela figganigga!
Happy birthday shosti wangu kipenzi...
Mola akujaalie baraka tele katika maisha yako....shari zote zikuepuke biidhnillah en shaAllah.....
Happy birthday my dear.........
Ahsante mamiiHappy birthday gorgeousmimi, Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele.
Allah akupe barakaWana MMU habari,
Leo mwana MMU mwenzetu gorgeousmimi anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ningependa kutumia jukwaa hili kumtakia kila la kheri katika siku yake hii ambapo amesogeza umri wake.
Mwenyezi mungu amjaalie kwa kila jema, ampe afya njema.
Happy Birthday gorgeousmimi
Ahsante kwa mashairi di!Allah akupe baraka
Na afya iso mashaka
kwa neema na fanaka
Uzidi kuwakawaka
Akupe yalo ya kheri
Yakuepuke ya shari
Tuwe nawe kwa dahari
JF ng'aring'ari
Heri ya siku ya kuzaliwa #gorgeousmimi .
#farkhina , #mzizimkavu kule jikoni kwetu mmeandaa chochote kwa mtoto aliezaliwa leo?
Ahsante kwa mashairi di!
Hilo naalifahamu. Lakini hizi wishes zmimezidi kuwa nyingi. Hivyo, ina maana watu nje ya hapa JF wana mahusiano ya dhati?
Karibu