Usitufanyie hivyo ujue tumezoea kukutania jamanNmeghair
Akipenda boga apende na uwa lakemuulize vzr kabisa japo kasema hatakia mashosti
We apo kaka bonny tumetoka mbali ujue usiwe unaniuza basiUsinletee telemundo hapa umetoka wap na Nan kwendraaaaa
Haya mjiandae ila msje na Madera yenu muyaache huko huko
nani anavaa deraulimuahidi nini kabinti ka watu?!!bonyyyMuulize juzi aliniahidi nini akikujibu niite mana nimesubili weeeh kimya
Umeona mazereu yake
Mdomo huumba kaka bonny achana na hivyo vituSiku hzi nmekua freemason
Kaka bonny juzi uliniahidi nini jaman we mkristo ujue
mtu mzima anaumbuka hapa
Uwa geni mie boga atupende tu na sie hakuna namnaKwahyo hapo wewe ua au boga