Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Yaan mishkaki tu tena nitakunywa na maji asije akaona tutamtia hasaramishikaki tafadhali
Yaan mishkaki tu tena nitakunywa na maji asije akaona tutamtia hasaramishikaki tafadhali
una nini bonyy..!!??
kweli kabisaa...Kwani uongo ndugu![]()
flat screen tena singsung!!!Ha ha ha ha wewe kwel unayo sibishi
mzee wa kuachia watu manyoyaa...hata mirinda nyeusi sijaiona
Muulize juzi aliniahidi nini akikujibu niite mana nimesubili weeeh kimyamzee wa kuachia watu manyoyaa...
Kaka bonny juzi uliniahidi nini jaman we mkristo ujueMnataka assist enhee
Babu anaejikongoja ni wa nini?Wewe hutaki vya motomoto???wee...usintafutie balaa na babu wanguu![]()
![]()
![]()
umeona eehh!hata mmoja mmojaAtupeleke tukale mishkaki
