ooops happy Birthday NathJohn mungu akupe maisha mema na marefu
Na kwa wewe sweetheart Firstlady wajina wangu ..i love you so much mungu akupe mema yote unayotamani ,maisha mema na marefu yaliyojaa upendo usio na kikomo
iNAONYESHA watu wengi sana walizaliwa end of January...ni msimu wa baridi sana nini huo?...BTW, HAPPY BIRTHDAY TO THE TWO OF YOU GUYS!...you are dearly loved!