Happy birthday figganigga!!

asante sana mkuu. habari za kupotea?. mia

Sijapotea, huwa nipo ila tunapishana tu humu ndani....wewe ukiwa juu mimi nakuwa chini, wewe ukiwa kushoto mimi nakuwa kulia, wewe ukiwa ukanda wa kati mimi nakuwa ukanda wa kusini....basi tena tunakuwa hatuonani
 
nimepapenda thana. vilevile panaweza pakafanya ning'olewe kucha na meno. nimefurahi kukuona tena tukiwa zero distance. karibu sana. mia
 
Nimekaribia, si unaona hapa wewe uko kula chini mie niko huku juuu ndio maana kuonana inakuwa ngumu ila basi tujitahidi tuonane tusipoteane sana
 
wazo zuri sana. tutajitahidi kutafuna mkuu. pamoja sana.
one love. mia
 
happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday dear figganigga
happy birthday to you
:A S kiss:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…