Happy birthday Farkhina

Happy birthday sweetheart...live longest and happiest farkhina
 
Last edited by a moderator:
chapati za kumimina?:smile-big:Ndio nasikia leo au unamaanisha mkate wa kumimina mpendwa ?chapati zipo za maji na za kusukuma
Cc farkhina

Hahahaa kumbe zaitwa hivo?Mi natoka Tanganyika!!Basi namaanisha chapati za maji!Huyo mtoto farkhina sasa ataweza kupika?Ngoja akue kue kidogo kwanza,hasijeakaungua bure!Najua ni mtaalamu mwenzio!
 
Last edited by a moderator:
Hapi besdei mamaa, how hold are yu nau?
 
Hahahaa kumbe zaitwa hivo?Mi natoka Tanganyika!!Basi namaanisha chapati za maji!Huyo mtoto farkhina sasa ataweza kupika?Ngoja akue kue kidogo kwanza,hasijeakaungua bure!Najua ni mtaalamu mwenzio!

Ahaaa hizo ni rahisi mpendawa hazihitaji ujuzi mwingi!Tena farkhina anazijulia!unapenda za sukari au chumvi?tukutane jukwaa la mapishi 🙂
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…