HAPPY BIRTHDAY EVERSMILIN Gal!

unajua daughter bado hajatutambulisha mkwe wetu ndio maana tuna shauku ya kumfahamu. Party ndio inaanza nw, nakuona kwa mbali... Sijui nimekufananisha.

Yaani unamsahau binti yako lol ndio hapo sasa ujue una bonge la mrembo c unaona nilivyotokelezea hadi umenisahau
 
unajua daughter bado hajatutambulisha mkwe wetu ndio maana tuna shauku ya kumfahamu. Party ndio inaanza nw, nakuona kwa mbali... Sijui nimekufananisha.

UMENIFANANISHA ANGALIA NINA MKE MPYA Madame B USINIARIBIE BANA
 
u look mwaaah daughter, kuwa makini tu na wakware. Namuona Asprin kwa pembeni na suti yake ya njano.
Afu wewe mbona mchokodhi thana? Afu nikikutongoza unanikataliaga. Sijui ukoooooje?

Huyo babu Asprini namheshimu mumii wala usiwe na hofu hata akijaribu kutupa nyavu ataambulia patupu
Naona umeamua kuwadanganya wenzio. Juzi tulikuwa wapi na tulifanya nini? Ila nlikupendea unavyorembua Amarula ikikuchukua.

BTW Happy Birthday Eversmilin Gal. Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio, uwaone wajukuu wako wakiizunguka meza yako kwa ajili ya kula nao chakula cha usiku.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom