************************************************************
Dear Elizabeth Dominic
Kwa heshima kubwa na na taadhima, naomba kwa niaba ya familia yangu, ya wana chit chat, wana MMU na wana JF kwa ujumla, kukuwish a very HAPPY BIRTHDAY ya sikukuu yako ya kuzaliwa
Ni siku Muhimu mno kwako na kwetu, hasa tunapoangalia tumetokea wapi na tunaenda wapi.
Kwa hiyo, mimi na my wife wangu
AshaDii, sweetlo
gfsonwin, msiri wangu
mwaJ, shemeji
Zion Daughter, cacico, badili tabia na yummy (wakeze hommie
Asprin), na nikitambua uwepo wa walimu wangu
snowhite na
Madame B,
Na wazee wenzangu kina
Mtambuzi (najua tupo wote kwen party),
MziziMkavu na
Chimbuvu,
Dark City, ladies and gentlemen wa hapa cc:
Preta,
marejesho,
Filipo,
Lily Flower,
Remmy,
charminglady,
Arabela,
kokutana,
Erickb52,
stevoh (pole sana)
Arushaone,
IGWE,
YNNAH,
Fidel80,
Teamo,
na wengineo woote tujumuike kumtakia heri mpendwa wetu
Elizabeth Dominic Mungu akupe maisha marefu zaidi, na mafanikio tele, uishi kuona miaka mingine zaidi na zaidi huku ukimpendeza Mungu na Watu, Maadam hii makitu imeangukia kwen white party, basi tunaendelezea humo humo leo, kuparty tu!
**********************************************************