Happy Birthday Dr. W. Slaa

Happy Birthday Dr. W. Slaa

Happy birthday Dr. Bado tunahitaji sana uongozi wako na busara zako katika jamii yetu.
Nakutakia baraka za Mungu na maisha yenye furaha tele.
 
maisha maref na mafankio ktk harat za kumkomboa mtanzania kutoka kwa wanyonyaji weusi yawe nawe daima. HERI YA SIKU YA KUZALIWA DR. W. SILAA.
 
HBD Dr SLAA
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU..
miezi hii usiwe karibu na watu usiowajua kwan utabiri wa TB joshua inawezekana ile plan D ya chama kikongwe itatimia
watajiteka wenyewe wakusingizie wewe na jopo lenu mfunguliwe kesi ya Treason...kazi kwenu
 
Mungu akujalie maisha bora na marefu. Long live Dr. Slaa
 
1383058334077.jpg
 
HAPPY BIRTHDAY DR. Endelea kuwapigania wanyonge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom