Happy Birthday Dr. W. Slaa

Happy Birthday Dr. W. Slaa

65 years old. 1948-2013

hbd babu slaa mungu akujalie maisha maref ila inakubidi siasa ustafu uwaachie wajukuu zako kina zito,myika, lema nawengine waendeleze harakati zako. Sasa hivi ni mda wako wa kupumzika na mchumba wako, na ubaki unawashauri vijana wa cdm
 
Happy birthday Dr. Slaa. hawa wanaoomba ustaafu ndiyo mafisadi wenyewe na kizazi chao, usithubutu, watauza kila kitu. kaza buti, hawa jamaa si wakuchekea, tamaa yao imezidi roho chafu za kishetani, usingekuwa wewe wala tusingejua List of shame ambayo mamba moja inaongozwa na mtu tunaye mtegemea kutupa muelekeo sahihi!? kutuokoa! Usichoke Dr
 
  • Thanks
Reactions: mmh
hbd babu slaa mungu akujalie maisha maref ila inakubidi siasa ustafu uwaachie wajukuu zako kina zito,myika, lema nawengine waendeleze harakati zako. Sasa hivi ni mda wako wa kupumzika na mchumba wako, na ubaki unawashauri vijana wa cdm

wewe ni muhaya wa kwanza ZUZU hapa nchini
 
65 bado anaoa vigori kama jose dah wazee wa sikuhizi au anashindana na mengi
hapana bwana yule dr anayetaka vitalu vya gesi ana 75 years with 1 year twins,ila ndio walewale wa kanda ya kaskazini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom