MMJ siku nyingi kaka huonekaniki, kulikoni? karibu tena kaka, tuko pamoja, tunomba tu kura yako siku ya jpili iende kwa Dr wa ukweli Slaa, mabadiliko daima.
Happy Birthday raisi wetu Mmtarajiwa, Mungu akupe maisha marefu na uwe mwenye nguvu katika kipindi hiki kigumu, na Watanzania kwa ujumla tunakuahidi kutokukuangusha, zawadi zetu ni jpili.
Mimi na familia yangu tunakutakia kila heri mr. Present na tumeitoa siku yetu ya J'pili kufanya kile ambacho wapenda mageuzi wanaenda kukifanya katika chumba cha kupigia kura.
HAPPY BIRTHDAY 2 U MR.PRESIDENT.WE THANK GOD THAT YOU ARE THE CHILD OF THIS LAND AND A MAN OF THE PEOPLE,MAY YOU LIVE LONBER TO SEE THE FULFILLMENT OF YOUR DREAMS & DESIRES FOR THIS COUNTRY.happy birhday!!!!!!!!!!!!!!!!
ALiyeweka anajua maana yake nini maana ajira za kufungua chupa za bia na soda zimefanya maisha yake na dada zeke kuwa BORA ZAIDI KWA KAZI NA NGUVU ZAIDI