Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,513
- 2,196
Happy birthday Mr President
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%Happy berth date jembe la Zanzibari! Wapelekee moto wazenji.
View attachment 2054258
===
Kila lenye heri Mzalendo wa kweli wa Taifa hili Rais Dkt Hussein Ally Mwinyi.
Mungu akupe miaka mingi zaidi ya baraka na furaha ili uwatumikie zaidi na zaidi masikini wa Taifa hili wa Visiwani na bara,
Mungu wetu ni Mwema amlinde Rais Wetu,Happy birthday Crde Mungu akupe maisha marefu Watanzania tunaimani na wewe,
Mbara anayeongoza Wazanzibari Kwa kubandikwa urasi asioushinda! Aibu kubwa......!
Mwinyi ni Mbara?