Happy birthday @Dikembe

Happy birthday @Dikembe

Hahahah kumbe unaham ya kuoga haya ntakuja kukumwagia maji ya kutosha 🏇🏇🏇
 
dikembe huo mchepuko bora ukurudishe tuu huko huko account izidi kuisha maana huku uraiani huna maana
 
Last edited by a moderator:
Happy bday my dikembe Mungu akupe maisha marefu.... Uje uchukue pampers homie
 
Last edited by a moderator:
Thanks much Valentina umenitendea haki..

Halafu ndoo za maji hazitoshi naomba unipeleke Car wash nikapigwe na maji ya pressure.

Ntakupeleka jioni mtoto mzuri ili baridi iwe imechanganyia vizuri...
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeehh maana hana maana huyu dikembe anakimbia nyumba kubwa na hata anawakimbia marafiki zake wa karibu kisa mchepuko
Usiombe hisani kwa ICHANA mkuu dikembe

Hahahaa...mkuu umeamua kuungana nao?? Hata lowasa akirudi CCM atapokelewa tu. Naomba mnipe haki ya kibinaadam
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom