ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,456
- 67,408
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi
. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata
nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante.
Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu na mazuri. Nakupenda sana

Happy Birthday once again Babe. Have a blast.

Davet
. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata
nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante.Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu na mazuri. Nakupenda sana

Happy Birthday once again Babe. Have a blast.

Davet