Happy birthday darling

i'm happy jirani..

pole sana kwa u busy wa hapa na pale...

Asante jirani. Sasa kipande changu cha keki kuna konda atapita Boma saa 6 mchana umpatie..Nitakupa details zake shortly.
 
Asante jirani. Sasa kipande changu cha keki kuna konda atapita Boma saa 6 mchana umpatie..Nitakupa details zake shortly.

mwambie apite mida ya saa kumi na mbili itakuwa tayari..
shansarie atakukumbuka lazma
 
Last edited by a moderator:
Hewalaaa...ndio huyu huyu, nina uhakika amu hawezi kuja kipande hii kwa hiyo maneno hapo juu teh teh!!

kuna tatizo na hayo maneno mkuu..

aisee huyu mpenzi wangu huwa anaiita zaidi ya hayo...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…