DaMie
JF-Expert Member
- Mar 24, 2010
- 684
- 171
Hongera DaMie. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha tele. Zawadi yako iko njiani.
Asante, nina kimuhemuhe cha kupokea hiyo zawadi!!
Hongera DaMie. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha tele. Zawadi yako iko njiani.
Tukuite mama kimuhe muhe nini, tehe tehe nakutania mamii.Asante, nina kimuhemuhe cha kupokea hiyo zawadi!!
Tukuite mama kimuhe muhe nini, tehe tehe nakutania mamii.
Better late than never, Happy Birthday dearest.
Hutaniwi na wewe, vungia basi.ahaaa nn tena Mzee wa Rula jamani
Pampers ya nini tena huko ulete ma wine na vitu vinavyofanana na hivyo.Niko na pampers yako sasa hivi
Better late than never, Happy Birthday dearest.
Piiiii piiiii nipisheni jamani nimpe zawadi huyo DaMie mimi upekuzi wangu haukujua kuwa hili toto la Kichaga ndiyo limezaliwa jana! DaMie happy birthday hebu pokea hii zawadi
View attachment 28303
Happy bday mpendwa
Sijui nimekosa bia za hapa???
Hepi besidei DaMie......
Umezikosa bia za mwanzo, tutasababisha tena kwa waliochelewa. Usihofu RR