Vasco wa degamer
Senior Member
- Feb 21, 2016
- 194
- 144
Wewe ni sehemu ya wanawake wasiojua tabia ya wanawake,kuna misuko ya kuonyesha lakini sio aina hio alidhamiria kumtakia kheri sista ake
Hata kama ni outdated bado mwanamke anaweza atuoneshe TU. Ilimradi wakati huo yeye amejiona superior. Pia ninaposema visuko naambatanisha na face yake coz anawatishia nyie wengi mnaotumia mkorogo, wanawake huamini kuwa mweupe ni uzuri na urembo wa hali ya juu? Huwadharau wasichana weusi na huamini ukiwa mweusi ni kosa.
hivyo anawaonesha pia weupe wake.
na utakuta ni yeye mwenyewe wala hakuna anaefanyiwa birthday