Happy birthday dada yetu mpenzi

Happy birthday dada yetu mpenzi

Hili tatizo la KE kukosa bwana limekuwa kubwa.....wanawinda kwa nguvu na mali?

Naiomba serikali itunge sheria ya kutulazimisha Wanaume kuoa wake wawili au watu?.....chini ya hapo iwe ni uvunjifu wa sheria!.....Nitahakikisha huu muswada unafika bungeni.
 
Kweli hali imekuwa tete!! BTW, Hongera mdogo wetu...
 
....teh hee hee..acha longo longo
.we sema kama una 40k ya lodge mtoto keshokutwa aamkie 'dining' asubuhi!
Hahahaha....Huyu unatakiwa usimpeleke loji ya 40K kama mchungaji....Unatakiwa upande kidogo...Huyu unamleta hapo Impala Hotel awe anakiangalia chuo kwa juu
 
Kweli Biashara Matangazo... Haya Tumekuona... Subiri Timu bazazi waje wakusalandie... am sure Private imejaa... Sasa hivi hali Ngumu ukiona kimya
 
Kwa niaba ya Dada ako/enu


happy-birthday-pictures4.png
 
Back
Top Bottom